capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Mimi huyo nikikusuka hulaliKila mtu ana mkono wake,kwa mfano kuna msusi akikusuka mashallah unatoka kama vile kakubana nywele tu ila mwingine utadhani umechomekewa miba
dah maendeleo hayana chama mzee kapigilia "adidas"😂😂😂😂Oooh bro. Sikuiona hii...
Heshima hiyo ikurudie sabini mara 70. Tulikosa sana vionjo vyako vya kiuanaharakati harakati humu...
View attachment 1398019
Sijawahi kuona wakiomba ya tako la sindano
Utakuwa ulioga Mara baada tu ya kuchomwa.Kabisa, nimerudi nikaenda kwa Boss wao (ni mmama, nikamwambia nurse fulani kanichoma sindano asubuhi mpaka sahivi bado inauma. Akanambia mie sio mtu wa kwanza kulalamikia sindano za yule nesi, akasema watamstopisha kuchoma watu sindano
Yea Bro its been days But am Okay Br,Bro Whatsup it’s been a while You Good
Hatari tupu bro...Pole sana pia hope utakaa sawa soon. Mambo mengine vipi?
Mwaka huu naona si salama sana.
Tulianza na Kobe, sasa tupo na CORONA!
Hee jamani. Kuna mmoja alinisuka za bure niliumia wiki nzima na kwa ubahili sikufumua
Daah sindano ya tako naiogopa sana, ni miaka zaidi ya 20 tangu nimechomwaSijawahi kuona wakiomba ya tako la sindano
Me tooDaah sindano ya tako naiogopa sana, ni miaka zaidi ya 20 tangu nimechomwa
Sent using Jamii Forums mobile app
NICE!Hatari tupu bro...
Mambo mengine kama kawaida kikubwa uzima na afya yake basi tunapata jeuri ya kuendeleza mapambano
Hahaha wanasema ukiona mtu anaumiza akisuka huyo mtu ni mkaliHee jamani. Kuna mmoja alinisuka za bure niliumia wiki nzima na kwa ubahili sikufumua
Daah aiseeHaya haya mambo ya sindano nurse wa Hosp X kamchoma sindano mtoto wa week moja ( nahisi ni sindano za chanjo na mtoto alikuwa mzima kabisa ila reaction ya ile sindano sasa mpaka mtoto kapoteza maisha siku hiyo hiyo
R.I.P little Angel
Aaah hapo nimeelewa. Na yeye ana kaukali