Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nilioga wakati naenda Hosp nilivyotoka wala sikuoga mpaka usiku ndio nikaoga tena
Kuna kipindi fulani nilikuwa mahali fulani hivi kwa miaka kadhaa. Sehemu ile kulikuwa na mfumuko wa gono tena ile sugu isiyosikia dawa kwa sababu pale mjini kulikuwa na msongamano mkubwa sana wa ile mitaa iliyokuwa mashuhuri sana kipindi kile. Niliona mabaharia waliokuwa wameathirika wakidungwa sindano moja ya ng'ombe fulu dozi matakoni. Aisee sindano ile ilikuwa ni hatari halafu sasa inachomwa tu kishikaji mtaani na non professionals au na madaktari wa mifugo. Yaani mtu alikuwa akidungwa sometimes mpaka anazimia halafu anatokwa na jasho balaa. Bahati nzuri hakuna aliyewahi kupoteza maisha na ilikuwa ni shoti moja tu gono sugu linapona mara moja.

Sindano miye hata uje nazo mia sawa tu ila sasa eti hiki cha kuchomwa kwenye kidole ili watoe damu huwa kinaniogopesha balaa [emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana hapo mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha hiyo sindano niliona wanaijadili uzi wa kula tunda kimasihara, kuna member alikula kimasihara aliyemla akamuambukiza Gono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…