Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hii kesi utaimaliza mwenyewe[emoji2]Njoo uone Saint Anne
Hahah! Mzeee mzeee[emoji23][emoji23][emoji23] dah nitaweza kweli kushusha nondo zote zile, haya majarbu mzee mwenzangu
Na unamjua vizuri[emoji23]
Hahah![emoji23]
Bro tumesalimiana kweli leo?
Niaje bro
Mie mzima..Vipi huko uko sawasawa?Salama Naddy?
😁 Man madeKuna mambo siku hizi yanatokea Duniani ata Mungu mwenyewe anashangaa
Salama mpendwa?
Inapendeza kuona haujambo..Mie mzima..Vipi huko uko sawasawa?
Safii... kuna kesi ngapi za korona huko?Inapendeza kuona haujambo..
Mimi pia mzima,kila kitu kipo sawa.
HahahHahah!
Fresh sana bro sijui wewe?
Anechoich chamber ni chumba maalumu kisicho na kelele hata kidogo. Ukiwa ndani ya chumba hicho unaweza kusikia sauti ya damu yako ikiwa inapita kwenye mishipa. Mapigo ya moyo wako yatakuwa na sauti ya juu sana kiasi cha kukuumiza masikio yako.Vyumba vya aina hii vipo sehemu mbalimbali duniani lakini kinachoshikilia rekodi ya kuwa na ukimya zaidi kinapatikana kwenye ofisi ya makao makuu ya Microsoft. Chanzo:CNN