Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Huu mkono wa kizazi sana
Huyu bado, hayupo siriaziWolper Stylish is on the market ...Na sifa wala siyo ngumu kivile [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1398194
😁😁😁😁Kuna baharia mmoja aliwahi kusema kuwa kama dunia ingekuwa inaongozwa na wanawake kusingekuwa na vita labda tu mataifa kununiana na kuchambana basi....
Wakivuka 30 ila ngoma hasa hunoga wakivuka 35. Hajui kuwa sasa mabaharia wamehamia kwa age ya akina Sanchi ambao nao muda si muda watawapisha wengine. Ni dunia ya kuachiana hii....Huyu bado, hayupo siriazi
Bado anazingatia vigezo, kuna umri flan hawa wakifika utasikia wanasema kikubwa maelewano ndani ya nyumba..
Anatafuta tension tu hana lolote, Mdogo wako Msodoki sindio anakaa sasa hiviHuyu bado, hayupo siriazi
Bado anazingatia vigezo, kuna umri flan hawa wakifika utasikia wanasema kikubwa maelewano ndani ya nyumba..
[emoji2][emoji2][emoji2] nimeona nimuulize leo[emoji3][emoji3]
Acha hizo za kuzua Nige. Weka vitu hivyo tuone Hanta naye anakuja.Maisha ndio hayahaya 😁Ha ha ha Naddy mjanja mjanja sana wewe.. Kuna mtu mmefanana naye sana hadi uandishi.. Ni wewe?
Asante kwa sala yako bro. Na kwako ikawe vivyo hivyo; na zaidi.Bro
Ni matumaini yangu u mzima wa afya, Mungu akufanyie wepesi kwenye kila lenye kheri wewe na wakuzungukao hapo.
Kuna moja huku nliona msela kaipiga spray za rangi tofautiHuu mkono wa kizazi sana
Niliona hii bro,na hawa ndio zao wanataka watu wa kuwalea ili asiingiliwe kwenye mambo yake..Anatafuta tension tu hana lolote, Mdogo wako Msodoki sindio anakaa sasa hivi