Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

  1. stress za kutelekezwa mara kwa mara zimeshaanza kumsumbua
  2. pengine anahitaji mwenza kweli lakini wanaume wanaogopa (ndio ubaya wa kuwa na sifa mbaya kwenye jamii iliostaarabika)
  3. urembo si silaha pekee ya kumvutia mwanaume mwenye upendo wa dhati
πŸ’―%

Anatakiwa kwanza abadilike yeye ndio ampate mwanamme sahihi laa sivyo ataendelea kuangukia mikononi mwa maharamia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…