GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,885
- 18,636
Ok nimekupata. Maana ni ileile ila muktadha tofauti.Bila samahani mkuu
Kuwa na tatizo au kutokuwa na tatizo itategemea hiyo mpenzi unaisema kwa nani
😀😀Duuh! Hii imenipitia mbali nahisi sijabahatika kukutana nayo, imekaa kama zile pad za deki
mbona wanawake wa zanzibar hawana makalio lakini wanaolewa......Anaweza kubadilika na asimpate.kipaumbele kwa sasa makalio
Hizo siku nyingi kwenu kungoja hadi mnaamua kuzinyoa
Sijawahi kuzinyoa napenda nyusi,sigi.Hizo siku nyingi kwenu kungoja hadi mnaamua kuzinyoa
Habari njema hii...... Wasalimie sanaWanaendelea vizuri
Wamezipokea kwa mikono miwili mpendwaHabari njema hii...... Wasalimie sana
Naona leo mzee unafunguka.paskali mayalla
barafu
yule jamaa mwenye avatar ya mandela
navutiwa sana na style ya uandishi wao
Ndani ya dakika 2 nimepata likes 2, this is to mean ndani ya nusu saa zitakuwa zishafika 30. Ngoja nisubiri nione.
Sawa mkuu.Hakuna cha kusubiri mkuu,
Weka post za kuelimisha kisha gonga likes kwa post za wenzako, fanya hivyo mara nyingi uwezavyo