Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

We mkorea ni mchawi sio bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka 86 si haba. Naye kaondoka na Korona. Apumzike kwa amani [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
nadhani korona inabaki kuwa ni kisingizio cha kumalizia uhai wa baadhi ya marehemu (wengi wao huwa na matatizo makubwa yaliokuwa yakiwasumbua kabla ya korona)
either cancer, pressure ya damu, sukari, paralysis, stress,
 
Kweli corona inasingiziwa mfano mabele alikua na magonjwa yake makubwa tu
hata yule raisi wa real madrid alikwa mgonjwa wa kufa
yule kocha kijana alikuwa na cancer

sijui yule muandishi kijana wa zimbabwe kama chanzo chake kikubwa ni corona au ndio hivyo tena alikuwa na ugonjwa mwengine unaomsumbua.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afadhali kwangu bora uwe commentless hivyo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…