Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

nadhani korona inabaki kuwa ni kisingizio cha kumalizia uhai wa baadhi ya marehemu (wengi wao huwa na matatizo makubwa yaliokuwa yakiwasumbua kabla ya korona)
either cancer, pressure ya damu, sukari, paralysis, stress,
Ukiwa mzee na/au una matatizo mengine ya kiafya Korona is proving to be extremely potent. Aurlus Mabele nasikia alikuwa mgonjwa amepooza hivyo Korona imekuja kumalizia tu. Na uzee kwa kawaida huambatana na ndwele kadhaa wa kadhaa hivyo Korona inatoa assist tu ya kukamilisha safari. Wapumzike kwa amani wazee hawa.

 
Nakubaliana na wewe, kwa mfano mwanamuziki Aurlus Mabele inadaiwa alikuwa anasumbuliwa na Kansa kwa muda mrefu, lakini alipopigwa na corona ikawa ndiyo hivyo
nadhani korona inabaki kuwa ni kisingizio cha kumalizia uhai wa baadhi ya marehemu (wengi wao huwa na matatizo makubwa yaliokuwa yakiwasumbua kabla ya korona)
either cancer, pressure ya damu, sukari, paralysis, stress,
 
Naona Fletcher Jere alikutana na kitu nadra kinachofinyiamo ndani kwa ndani halafu bofulo bofulo kimeumuka tena juicy fulu mafuta orijino ya motoo mpaka akasalimu amri. Apumzike kwa amani baharia huyu kwa kufa kifo cha faraja huku akipigania heshima ya ukoo na urijali wake....[emoji2221][emoji2221][emoji2221]

 
[emoji23][emoji23][emoji23] dunia ina mambo
 
huyo mwanamke itakuwa alijipaka asali, jam, mayonnaise na maziwa ya cow bell mwili mzima ndio maana alikuwa sweet to mr marehemu.
 
majini wanataka pete ya dhahabu, wafugiwe mbuzi, njiwa mweupe, vitambaa (rangi nyekundu na nyeupe)

kwa nini majini wengi ni waarabu?
kwa nini majini wengi wana majina ya kibantu?
shikamooni majini
Majina ya kibantu ni yapi? Ushawahi kusikia jini anaitwa Nyangeta, bhoke au mwinga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…