Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,748
Njema sana Hawachi, karibu sana.Sijambo Capitalpool za kuadimika mpendwa
Kumbe kangaroo wana "kanjia" kadogo ka kutolea mtoto?!! Sipati picha madume yanavyo pata shida kutupiamo...Kangaroo anapozaliwa anakuwa ni mdogo sana kiasi kwamba anatosha kwenye kijiko cha kulia chakula.
Khaaa ankooKumbe kangaroo wana "kanjia" kadogo ka kutolea mtoto?!! Sipati picha madume yanavyo pata shida kutupiamo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila haka kamchezo....Uume huongezeka urefu kwa wanaume wanaofanyiwa mapenzi kwa njia ya mdomo.(Utafiti wa Dr Debby Herbenick, Marekani, 2013)Kumbuka:Mapenzi ya mdomo yanasababisha kansa ya koo.Chanzo:MedicalDaily & Wiley(OnlineLibrary)
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji137][emoji137]
Kwema ankoo, dogo hajaniletea bado nilidhani bado yuko mbeya[emoji1][emoji1][emoji1][emoji137][emoji137]
Ankoo kwema huko?
Yule dogo amesha kuletea maparachichi uliyo muagiza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikaoni huku, sijui kamejificha milima ya Senjele?!!!