moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Wacha tuone itavyokua
Rwanda wapo wangapi?Waziri wa afya wa Afika Kusini Dr Zweli Mkhize ametangaza ongezeko la waathirika waliombukizwa Corona toka 554 hapo jana mpaka 709 kufikia leo. Akiongea na Shirika la habari la nchi hiyo SABC kuwa wanatrajia kupata ongezeko zaidi.
Mpaka sasa Afrika Kusini na Rwanda ndiyo nchi zinazoongoza kwa kuwa na maambukizi makubwa ya wagonjwa wa corona barani Afrika View attachment 1398933
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mwenyewe nakuogopa mla urojo.muda sahihi wa kufunguka, no mapira itabidi tufuatilie siasa za bongo country kwa lazima
karibu nyumbani kwetu brother......
ngoja nikutembeze nyumbani kwetu upate kuwafahamu wanafamilia wa nyumba hii.
usisahau humu ndani nimeingia bila ya kukaribishwa...... wanywaji urojo na kahawa hatuhitaji mkaribisho wa mwenyeji
- davet: handsome kutoka vingunguti, karne hii ya 21 ndiye mtoto wa kiume pekee duniani anayechemshiwa maji ya kukoga, davet njoo ule, davet skuli tayari, davet usiwashe tv utaumiza vidole, davet maji tayariiiii
- mfilisti: amejaa sifa zilizojaa ujinga ndani yake, baada ya wiki moja ya ndoa hatimaye ametelekeza mwanamke...chanzo kikubwa ni madeni yaliotokana na maandalizi ya ndoa..... mpaka suti alikopa mjinga huyu
- myoyambendi: jasusi kutoka CIA, huyo mzee anatembea na daftari la kuandika comments (poleni, hongereni, kalaleni, amkeni, inukeni, zindukeni, someni, chezeni,oeni, zaeni)
- moudgulf: shabiki wa liverpool, mchimba madini, mtembezaji watalii, mshabiki wa simba....huyu jamaa anatamani corona imalize kesho.... usiniulize kwa nini. Pia ana kaka yake anaitwa myoyambendi ikifika muda wa kula wanashtuana kwa code maalum...... amezaliwa miaka 40 iliopita lakini hajawahi kushuhudia liverpool wakibeba ubingwa wa uingereza....... you will never walk aloneeeee ..... my foot
- the happiness: handsome girl (beautifuly) kutoka buza, ndiye anayemweka mjini Davet..... mahari yake amechumbiwa ndege aina ya tausi pamoja na mbwa wa kizungu.
- khantwe: huyu mwanamke nilikuwa naogopa hata kulike comment yake miaka ya mwanzoni, kumbe ni mcheshi halafu ana degree 9 moja wapo ni bachelor degree of kutembelea kila jukwaa. kiukweli ile avatar yake ya zamani nilikuwa siipendi....bibi harusi alikuwa mbayaaaaa kuliko chloroquine, bwana harusi karegeaaa kuliko nzi...... huyo khantwe ni mrembo kuliko mwanamitindo wa sudan ya kusini
- kgothalo: no comment (huyu dada bado namuogopa) ..... mrs DJ from california madridista de italia
- Numbisa: anawachukia wasafi lakini ameajiriwa wasafi (nimtakae hataki, nisiyemtaka hajiwezi kwangu)... ukisikia nyoka ameliwa na kuku ndio hiyo sasaaa..... ni mrembo kuliko zena na betina
- hawachi: mrs beautiful , time travel, leo yupo dubai, mchana yupo vingunguti, usiku yupo wete........ ana degree ya mapishi hususani ugali, dona, sembe na kachumbari........
- depal: sijui jana nilimkera (hapana hapana depal huwa hakerwi na porojo langu), mchumba wake nitamtaja hapo baadae...... jina lake la umaarufu ni BABLAI...... ni mrembo kuliko binti wa jeje uyo jeje [emoji441] [emoji441]
- ningendako: alipotea takribani mwezi mmoja hatimaye mchumba wake akapatwa na stress, anapenda series, mchumba wake anaitwa depal....... handsome kutoka kolomijeee.......
- cole williams: no comment, jamaa ndiye muongoza njia wa davet.....ndiye anayemnunulia davet CD za hip hop, movies etc
- ayyanna: namuonea huruma huyu binti, nilimpenda lakini alinikataaa kwa sababu (nakunywa urojo).... leo yamemkuta hatimaye amekwenda kuomba hifadhi kwa msukuma....... mwache akalishwe sembe kama mfungwa
- mkokaa: mtaliano mweusiii kama ukuta wa jikoni.... mdogo wake super mario balloteli..... amekimbia kwao kwa sababu ya corona
- capitalpool: mzee wa code a.k.a compiler
- saint anne:mpenda maparachichi, huyu naye namuogopa ogopa (nataka niombe naye mechi siku moja)....... aliwahi kupambana na watu tisa na alishinda pambano.... anaipenda liverpool lakini maishani mwake ameangalia mechi moja tu dhidi ya atletico madrid pale anfield na walifungwa. ni mrembo kuliko yule binti wa onaana onaa na nnaa baby weeeee[emoji441][emoji441][emoji441]
- shimba ya buyenzeee: msukuma wa kwanza kumiliki gari, msukuma wa kwanza kula pilau na bugger, msukuma wa kwanza kumiliki camera, msukuma wa kwanza kumiliki server (wasukuma walikuwa wanaabudu kununua baiskeli na vipolo vya mahindi)......wanamwita captain wa likes thread (jamaa ni great thinker lakini anajifanya too less know..... ingilishi ya kwetu hiyoo)
- zoe:no comment (sijamchunguza kwa undani)
- mmoja nimemsahau ...... ni keeee
Umemsahau carbamuda sahihi wa kufunguka, no mapira itabidi tufuatilie siasa za bongo country kwa lazima

ndiye namba 19 niliyemsahau
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hio kazi wameshafanya watafit bana
Weka tuone ππ
Anakohoa sana, muelekezeni dawa
Hahah! Nilikuwa mhududumu wa ile hotel alipofika isabella
ππ icho ndio wanaitaga kishundu
Muoga sana huyo, hawezi kukubali
Hahah! Nimerudi kuisoma naona ni ukweli
πππ hiyo dawa hiyo ya kupeana ndani tena na mgonjwa abaki nje πUje naye nyumbani atabaki barazani, wewe jirani yake nitakuonyesha dawa ya kumpa hapa ndani kwangu[emoji1787][emoji1787][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sent using Jamii Forums mobile app
πππ kimekuchekesha nini?Mimi mwenyewe nakuogopa mla urojo.
Ila Hapo kwa Kd nimecheka sama
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ndioππ icho ndio wanaitaga kishundu
Rwanda wapo wangapi?
Kwa nini ukakubali uchomwe ya matter callNdio ndio
Kirefu cha KD broπππ kimekuchekesha nini?
36Rwanda wapo wangapi?