Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
ππ inatakiwa amtagBro Moud ndio muhusika
Mlokole ππ½Hujatulia honey nakwambia
Mheshimiwa mi nimekwisha kueleza
Maneno matamu umekwisha niambia
Lakini hata moja bado hujatimiza
Ray c:hujatulia nananana
Mh temba: kwanini nitulie wakati nakupenda [emoji443][emoji446][emoji441]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aya embu tajaNa kwanini nikudanganye eti
Seli wangu we kimwanaWapambe tusiwakubali
Tusisikilize uzushi
Nia yao tufarakane
[emoji446][emoji443][emoji441]
Sent using Jamii Forums mobile app
HUMAN CLONING(WATU COPY)[emoji116]
.[emoji117]kama nilivyo sema katika makala ya kwanza kwamba kunawatu ambao ni copy .hawa watu ninao enda kuwa elezea apa[emoji116] sio halisi ni feki..
.
1.mwana mziki EMINEM.
[emoji117]najua watu wengi mna mfahamu uyu, ukweli nikwamba uyu eminem tunae muona sasa sio halisi ,eminem halisi alisha kufaga ila waliweka siri kuhusu kifo chake kisha waka mtengeneza mtu copy ambe anafanana kila kitu na eminem...jina EMINEM alilifanua kama "Every Mamals Is Nice except me" akimaanisha kwamba "kila kiumbe hai ni kizuri kasoro yeye". Eminem halisi inasemekana alisha kufaga toka mwaka 2006 ,kama unakumbuka mwaka 2006 ili tokea ishu kuhusu kuwa eminem amenusurika kifo baada ya kuji overdose na alikuwa ICU ,ukweli ni kwamba eminem baada ya kuji overdose alikufa lakini kutokana na umuhimu wake na kwa ushawishi wake mkubwa ikabidi wafiche siri juu ya kifo chake kisha wakachukua cell na jenis(DNA) zake nakutenge neza eminem mwingine huyu tunae mfahamu..na kama unakumbuka vizuri mwaka 2006 baada ya kupona maisha ya eminem yali badilika..mwili wake uli badilika ukichukua picha ya eminem wa miaka ya 2000 uki mlinganisha na wa miaka 2010 utagundua ,macho yake yame badilika kutoka blue kuwa brown,sura ,pua ,mtindo wa nywele na hata kichwa ni tofauti.
Labda Kagame kamuua kwa sababu hanaga mchezo [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Asiyesikia la mkuu...View attachment 1399290
NanananaSeli wangu we kimwana
Nataka tufunge ndoa
Unizalie watoto
Konki master [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Dudubaya
Jinga wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bro Moud ndio muhusika
Kwa Mfalme Sulemani aliyekuwa na wake 700 na makahaba 300 huyu bado cha mtoto tu...Moulay Ismail Ibn Shariff ndie mtu mwenye watoto wengi kuliko wote duniani
Alikuwa ni mfalme wa Morocco kuanzia mwaka 1672 hadi 1727
Alizaliwa mwaka 1645 na kufa mwaja 1727
Alikuwa na watoto waliosajiliwa 867 kati ya hao watoto wa kiume 525 na watoto wa kike 342
Lakini ukijumlisha na ambao hawajasajiliwa ni 1042
Lakini baada ya kufa idadi ya watoto wake iliongezeka hadi kufika 1171
Mfalme huyu alikuwa na wanawake 500
Hata walokole injini huwa zinatokota. Nenda kule kwa mabaharia wa kula tunda kimasikhara ukaone... [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Mlokole [emoji1430]
Endelea kushusha lyrics
Nilikuwa najikumbusha tu nyimbo nilizosikia enzi hizo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3] unadedicate kwa nani
ππHata walokole injini huwa zinatokota. Nenda kule kwa mabaharia wa kula tunda kimasikhara ukaone... [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Nilishusha juzi lyrics za tenzi za rohoniEndelea kushusha lyrics
ππ sawaNilikuwa najikumbusha tu nyimbo nilizosikia enzi hizo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilikuwa mzuri sana kwenye kukariri.. Ni zaidi ya miaka 10 imepita toka nisikilize,ila nakumbuka hadi Leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] inatakiwa amtag
Leo bongo fleva