Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Basi nakumbuka tu hapo pa nikumbuke kwa barua..Huo huo
Mboni ichafukapo jicho huwa mashakani........
Naona umeamua ubadili mada[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndiyo hizi hizi japo sasa zimeharibika. Yaani hatuwezi kuendesha miradi kwa weledi sijui kwa nini. Shame on them wanaondesha mradi huu ambao miaka michache tu huko nyuma wengine walikuwa wanakuja kujifunza kwetu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]A Cat crying at 1 am.
AMERICA: Aaaw poor Cat.
KENYA: Shindwe mwovu shetani. Hatuna Deni na wewe tulimaliza Gethsemane!
kupatwa kwa lyrics........Raha ya tunda
Nani Nani sijui ft Duly Sykes
.Raha ya tunda unipe nikupe
Mapenzi nanana.
Najua unanipenda Mimi
Mwenzio ninasikia Raha
Wazee walisema ya kweli hohohoo
Umpende akupendaye asiyekupenda achana naye
Ya ukweli yanatoka moyoni oooh
Na mengine ya uongo yatafwata baadae
Kama kupenda nakupenda mwenzio ooh punguza wivu tuwe pamoja Mimi nawe
Tufunge ndoa ya Haki mi na we o oooh
Nyumbani kwa baba na mama mpenzi wangu Raha ya tunda[emoji7][emoji3590][emoji442][emoji446][emoji443]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aturilikisi mwakanyimbo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kupatwa kwa lyrics........
tunamshukuru raisi magufuli kwa kutuwezesha mkoa wetu wa mbeya kutoa muandishi mzuri wa nyimbo.
magufuli adumu milele ndivyo tunavyosema sisi jamii ya mwakanyimbo na mwaka lyrics.
Kawaida tuunajisikiaje kifikra pale unapoanzisha thread baadae ikakosa wachangiaji
Kd wanaogopa kucha zitakatika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
- myoyambendi amelala Tanga (kwa mke wake wa pili)
- davet ameshafungiwa mlango wa chumbani (amelala)
- wamarekani weusi ndio kwanza wanapata lunch
Mkuu nashukuru kwa taaribu toshelezi. Nami ndio nakwenda kutafuta lunch sasa
- myoyambendi amelala Tanga (kwa mke wake wa pili)
- davet ameshafungiwa mlango wa chumbani (amelala)
- wamarekani weusi ndio kwanza wanapata lunch