Mtandao wa PornHub' umekuwa na kawaida ya kutoa ofa ya bure ya kutazama video za kulipiwa (Premium) kila inapofika siku ya wapendanao (Valentine), Lengo uongozi wake unasema ni kuongeza furaha zaidi kwa watumiaji wake.
Kwa kila miaka Bilioni inayopita Jua nguvu yake huongezeka zaidi, Baada ya miaka Bilioni 3.5 itayokuja kuanzia sasa Jua nguvu yake itaongezeka kwa 40%. Hali hiyo itapelekea athari nyingi kama Bahari kuchemka , Barafu zote zitayeyuka na unyevu nyevu kwenye anga la hewa utaondoka.
Tafiti: 44% ya watumiaji wa iPhone hawapo tayari kuhama kwenda katika simu zenye mfumo mwingine hata kama wakipewa bure huku 51% ya watumiaji wa Android wapo tayari kuhama kama watapewa simu zinazotumia mfumo mwingine.
Miaka ya 1700's Mananasi yalikuwa yanauzwa bei ghali zaidi, inaelezwa watu ambao walikuwa na uwezo wa kununua kwa bei hizo walikuwa wakitembea nayo katika sehemu mbalimbali za starehe kuonesha ufahari wao.
Faida mojawapo ya tunda Nanasi ni husaidia kutunza na kuboresha uwezo wa ubongo wa mbele ambao unahusika kwa kiasi kikubwa katika utunzaji wa kumbukumbu.
Wakati wa utawala wake Idi Amin alipiga marufuku wanawake kupaka manukato, kuvaa mawigi, suruali na vimini. Kwa mujibu wake alifanya hivyo ili kulinda maadili ya nchi.