Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

50 Cent' yupo na Series mpya inaitwa FOR LIFE ni stori ya ukweli inamuhusu Isaac Wright Jr ambae alifungwa jela kwa kosa ambalo hakufanya, baadae anakuwa Mwanasheria na kuamua kujitoa mwenyewe.Mpaka sasa zipo Eps 03,
 
Mwanaume hutoa manii (Sperms) zaidi ya 200-300 milioni, Lakini moja tu ndio hupata nafasi ya kurutubisha yai. Lakini pia ili yai liweze kurutubishwa angalau 60% ya manii zilizotolewa inatakiwa ziwe na muundo na ukubwa unaokaribiana.
 
Animations 10 bora ambazo haitakiwi ukose kutazama (2000's-2020).

1. Rango- 2011

2. Ratatouille- 2007

3. Coco- 2017

4. Moana- 2016

5. Tangled- 2010

6. Finding Dory- 2016

7. Finding Nemo- 2003

8. Wall. E- 2008

9. Ice Age- 2002

10. How To Train Your Dragon- 2010
 
Filamu ya James Bond (No Time To Die) imesogezwa mbele kutoka mwezi April na sasa itaachiwa rasmi mwezi Novemba.Sababu imetajwa ni kutokana na janga la Corona Virus, Kumbuka hii ndio itakuwa Filamu ya mwisho kwa Daniel Craig kucheza kam James Bond.
 
Wazo na mipango bora ni muhimu, Lakini kama utashindwa kuona upi ni wakati muafaka(Timing) wa kufanya utekelezaji (execution) wa jambo lako, huwa haijalishi kwa namna gani wazo lako ni zuri utaendelea kubaki pale pale.
 
Tafiti: Wanaume mfumo wao wa mwili umeundwa kulala mara moja baada ya tendo la ndoa, Hii hutokana na Mchanganyiko wa homoni kama norepinephrine, serotonin, oxytocin, vasopressin, nitric oxide (NO) na prolactin ambazo hutolewa pindi wanapofika kileleni.
 
Aisee, sikuwa nimepitia mafile yake.

Unachosema kina mantiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…