Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aliyekuwa nyota wa klabu ya Ajax, Abdelhak Nouri amezinduka baada ya kupoteza fahamu kwa zaidi ya miaka miwili (miezi 33) na kuwa katika chumba cha wagonjwa mahtuti, familia yake imethibitisha.

Nyota huyo aliumia uwanjani na kupoteza fahamu Julai 2017
 
Mwenyezi Mungu mtukufu amponye kijana huyu wa kidachi ili arejee uwanjani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…