Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Mtandao wa PornHub' umekuwa na kawaida ya kutoa ofa ya bure ya kutazama video za kulipiwa (Premium) kila inapofika siku ya wapendanao (Valentine), Lengo uongozi wake unasema ni kuongeza furaha zaidi kwa watumiaji wake.
Tafiti: Ofisi ambayo ina wanaume wengi huwa na bakteria wengi zaidi tofauti na Ofisi ambayo ina wanawake wengi kuzidi wanaume.
mbona hii offer sijahawahi kukutana nayo haliyakuwa natembelea huu mtandao kila siku.Mtandao wa PornHub' umekuwa na kawaida ya kutoa ofa ya bure ya kutazama video za kulipiwa (Premium) kila inapofika siku ya wapendanao (Valentine), Lengo uongozi wake unasema ni kuongeza furaha zaidi kwa watumiaji wake.
Kwani ule mtandao wako unaotumiaga ni Pornhub?mbona hii offer sijahawahi kukutana nayo haliyakuwa natembelea huu mtandao kila siku.
ngoja nitegee mwaka ujao pengine bahati itakuwa upande wangu (unajua premium member wanafaidi mavideos ya kibabe)
valentine fika weeeeee mfilisti apotee tena, daemusin ajimwambafy na mke wake (pornhub)
avatar yangu ina majibu (naifahamu mitandao 5 ya uhakika)Kwani ule mtandao wako unaotumiaga ni Pornhub?
Hahah! Hiyo avatar ya kibabe sana mzee, sasa hao premium members hua wanapata kipi cha ziada?avatar yangu ina majibu (naifahamu mitandao 5 ya uhakika)
nifate kwa waziri mkuu nikutajieeeee
majibu anayo Numbisa (sisi watumishi wa Mungu hatuwezi kuweka hadharani taarifa chafu kama hizo)Hahah! Hiyo avatar ya kibabe sana mzee, sasa hao premium members hua wanapata kipi cha ziada?
Sawa fundimajibu anayo Numbisa (sisi watumishi wa Mungu hatuwezi kuweka hadharani taarifa chafu kama hizo)
Mioyoni hawana utuMachoni kama watu
Binti wa zamani upo vizuri ππ