Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Nimelala Mimi muda huuBinti wa zamani upo vizuri [emoji3][emoji3]
Sikiliza EA Radio sasa hivi
Napenda juaKati ya Mvua na Jua
Hahaahhahaa jamaniiiimbona hii offer sijahawahi kukutana nayo haliyakuwa natembelea huu mtandao kila siku.
ngoja nitegee mwaka ujao pengine bahati itakuwa upande wangu (unajua premium member wanafaidi mavideos ya kibabe)
valentine fika weeeeee mfilisti apotee tena, daemusin ajimwambafy na mke wake (pornhub)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]majibu anayo Numbisa (sisi watumishi wa Mungu hatuwezi kuweka hadharani taarifa chafu kama hizo)
leo rasmi nimeamini saint Anne si under 18.
mbona unaongea kwa kuandika?
Unalala nini wewe nae?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]leo rasmi nimeamini saint Anne si under 18.
mukome kumpunguzia umri huyu bibi mwenye miaka 35.
pengine muda huu yupo juu ya mparachichiUnalala nini wewe nae?
mistari unayoinukuu kwa kijana wa miaka 18 hawezi kuikumbuka.
capitalpool karudi mpole dizaini ya wale watekwaji. Je, hii ni ishara ya kwamba hata BAK atarudi kwa style ya huyu kijana?Capitalpool is back
wewe mjinga unasemaje?
Nyimbo zipo youtube hamna mtu asiyejua hizomistari unayoinukuu kwa kijana wa miaka 18 hawezi kuikumbuka.
hata cd za nyimbo hizo pia hazipatikani tena library
wewe ni muhenga kuliko TH, KD, NUMB, KHANT.
Ki vipi unachangiawewe mjinga unasemaje?
nachangia pato la taifa kupitia huu mtandao
dah! huenda daughter of good anakwenda kuiba lyrics baadae anaziandika humu ndani.Nyimbo zipo youtube hamna mtu asiyejua hizo
πππ