Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
stella wa 93 cheiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
swadakta, swadaktaKuna watoto wanapenda Sana kujilinganisha na Mimi.
Huu ujumbe umewafikia [emoji108]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitatafuta kijana.
- tafuta ngazi au jiti refu.
- panda juu ya mparachichi
- tafuta kijana akusaidie kuchuma
- ukate mparachichi
Kwani youtube ina shida gani mtumishi mpaka usiwe nayo
Kilimo ndio uti wa mgongo wa taifa, pole lakini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] juu ya mparachichi daaah daaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
- tafuta ngazi au jiti refu.
- panda juu ya mparachichi
- tafuta kijana akusaidie kuchuma
- ukate mparachichi
Bro embu weka chorus ya nyimbo na mimi nishushe verseMstari wa mbele
si nilisikia uliwahi kupata mafunzo ya JKT mgambo.
Kama ulaji wa maparachichi nadiriki kusema Sina mpinzani[emoji23][emoji23][emoji23].swadakta, swadakta
mpaka baadhi ya wakati nashangaa humu ndani, inakuwaje kila mtu anajifananisha na wewe kiumri.
nikagundua kumbe wengi wao wana wivu juu yako (umewazidi kiumri, umewazidi kwa kula maparachichi)
Nimesahau kukuuliza ulimaanisha kilimo gani?
Basi tu najikuta SinaKwani youtube ina shida gani mtumishi mpaka usiwe nayo
Cha bustani.Nimesahau kukuuliza ulimaanisha kilimo gani?
humu ndani kwa upande wa wanaume anayekuzidi kiumri ni ankooo andjul, waliobaki wote wamezaliwa mwaka ambao sungura alipofanikiwa kuzaa sokweKama ulaji wa maparachichi nadiriki kusema Sina mpinzani[emoji23][emoji23][emoji23].
Umri kidogo Hawa akina SYB,ankoo na ustaadh wanaweza kujilinganisha na mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
SI JKT tu.si nilisikia uliwahi kupata mafunzo ya JKT mgambo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si umesema first born wako wa 93 jamani
Mapambano yanaanza, nimeshafika mstari wa mbele nipo juu ya kilele...........Bro embu weka chorus ya nyimbo na mimi nishushe verse