Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

🤣🤣🤣🤣 Dah!
 
Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson akutwa na maambukizi ya corona View attachment 1400954

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa watu mashuhuri hawafi na Korona hawa. Wana huduma bora za afya na wana access mpaka na experimental drugs & procedures.

Nimesoma hapa kuna procedure moja wanafanyiwa ambayo inaponyesha Korona kwa kiwango kikubwa. Wanachukua serum au protini fulani zinazohusiana na uimarishaji wa immune system kutoka kwa mtu aliyeugua ugonjwa wa Korona halafu akapona na kuzipandikiza kwa mgonjwa mpya. Hii inaactivate immune system ya mgonjwa mpya kwa kiasi kikubwa sana na kuua virusi wa Korona mara moja. Mtu wa kawaida usiye na pesa procedure kama hizi utazipata wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…