Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Konokono yupi anayezungumziwa? [emoji2221][emoji2221][emoji2221]Konokono anaweza kulala kwa miaka mitatu mfululizo.
Weekend Ni upi huo?Weekend ya Mangwear unaipata?
Maisha ya Boarding ya j mo?
😂😂😂😂😂😂 ukijumlisha na zile picha zako anazosave lazma ijae
Nunua nyingineNadhani hivyo.
Ila Kuna vitu nilishafuta cha ajabu nikienda kwenye setting nakuta vimerundamana
Nashindwa namna ya kuvitoa.
Nadhani hivyo pia vinachangia simu yangu kujaa
Nina memory card..sasa Sijui kwanini simu inajaa haraka .
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule mmiliki wa Olympiacos amepona tayariHawa watu mashuhuri hawafi na Korona hawa. Wana huduma bora za afya na wana access mpaka na experimental drugs & procedures.
Nimesoma hapa kuna procedure moja wanafanyiwa ambayo inaponyesha Korona kwa kiwango kikubwa. Wanachukua serum au protini fulani zinazohusiana na uimarishaji wa immune system kutoka kwa mtu aliyeugua ugonjwa wa Korona halafu akapona na kuzipandikiza kwa mgonjwa mpya. Hii inaactivate immune system ya mgonjwa mpya kwa kiasi kikubwa sana na kuua virusi wa Korona mara moja. Mtu wa kawaida usiye na pesa procedure kama hizi utazipata wapi?
Ila picha za humu pia zimejaza simu yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukijumlisha na zile picha zako anazosave lazma ijae
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wa majiniKonokono yupi anayezungumziwa? [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Usicheke
Mungu wangu[emoji26][emoji26][emoji26]
Andaeitini utamjulia wapi kalapina.Bro mimi najua za kina nako 2 nako
Nilikuwa nasubiri post yako ya wakulima poleni.Kila mtu ana umuhimu wake
Muongo[emoji850]"Pamoja na janga hili la corona uchaguzi uko palepale.
Hakuna mtu anayekubali kukaa muda mrefu kwenye maofisi haya yenye changamoto nyingi"----MagufuliView attachment 1400958
Sent using Jamii Forums mobile app
Simu
Amen.Nimeipokea kwa heshima zote.
Kwakuwa mengine yamepita na hili litapita tu maana mtetezi wetu yu hai[emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app