Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nikipata hela nitanunua.Simu
Zina maanaNikipata hela nitanunua.
Hata hivyo u tube,Instagram ,Snapchat na app nyingine zisizo za maana kwangu sitaziweka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Namba 6 ndio miaka yanguok, basi acha niweke list ya watu umri mkubwa humu ndani
mwenye maswali aende mamlaka ya utoaji vyeti vya kuzaliwa au NIDA
- babu andjul = miaka 55
- moudgulf = miaka 43
- saint anne = miaka 37
- myoyambendi = miaka 34
- shimba ya buyenze = miaka 33
- daemusin = miaka 31
- khantwe = miaka 27
- numbisa = miaka 26
- capital pool, mkokaa = miaka 25
- depal, ningendako = miaka 23
- davet, the happiness = miaka 21
Najua nyingi tu zakina mr 2 kalapina na wengineAndaeitini utamjulia wapi kalapina.
Nako2nako watoto wenu wa Arusha wameanza juzi tu kuimba
Sent using Jamii Forums mobile app
acha utani wa jioni (bado hujafika miaka 30)Namba 6 ndio miaka yangu
Mimi kwangu sioni Kama Zina maanaZina maana
Yaani huyu dogo anamaanisha 31-10acha utani wa jioni (bado hujafika miaka 30)
umri wako ni wastani wa miaka 23 - 27
Ntakushawishi
Tulia wewe
Nimekula chumvi mimiacha utani wa jioni (bado hujafika miaka 30)
umri wako ni wastani wa miaka 23 - 27
Kupata breaking news za duniani kote kuhusu mambo yote
Machafuko ya n2n unaijua?Bro mimi najua za kina nako 2 nako
ππππWeekend Ni upi huo?
Jmoo
Tunanyanyasika
Twataabika
Tunateseka maisha ya boaring
Tunapata shida nananana maisha ya boarding
Sent using Jamii Forums mobile app
Andaeitini wa humu ndani Ni tatizo[emoji1787]Nimekula chumvi mimi