Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Biden anatembelea nyota ya Obama, lakini yeye kama yeye; hakuna kitu aisee. Kitu kitakachomfanya ashinde ni wapiga kura wengi waliomsusia Hillary uchaguzi uliopita safari hii hawatafanya hivyo. Wana hasira kali dhidi ya huyu Bwana aliyepo madarakani. Biden lazima tu kwenye debate atajichanganya, yule jamaa akili zake anazijua mwenyewe tu. Lakini hata huyo atakayekuwa anapambana naye asilimia kubwa ya yale atakayokuwa anayasema yatakuwa ni uongo mtupu. 😀😀Sidhani kama Biden ataweza kumuondoa huyu jamaa. Akiongea anaonekana kama hayuko sawa upstairs. Akija kujikanyaga kwenye debate moja tu tayari...
Mahilibillies wa Trump wakisaidiwa na Putin watapambana kufa na kupona aisee. Na wao hawajali cho chote aisee..Ngoja tuone. Labda hii Korona ichemke iwe kama Italia
Wapi jirani....
Duh h!!! Mzigo.....
Lazima kuna tatizo mahala[emoji23][emoji23][emoji23] We umefuata nn huku?
Jibu swali lake usiwe mbabe kwa mtoto wa kikeEmbu niache kwanza hii debate siilishaisha lakini [emoji23] vitu vyakule viache kulekule ujue.
Huyu ni mzururaji
mm sio mtata kashanielewa mwenye mbona
Kwahuyu lazima tutende kibabe [emoji4]
Amna nilibadilisha kijiwe tu natafuta washikaji wapya tu kijiwe chenu na hama.Huyu ni mzururaji