Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha tabia ya kupunguza umri wa watu bwa mdogo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umepunguza umri wa SYB kisha namba zake ukamjazia Andjul.
Umenipunguzia namba zangu ukajiwekea kwako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hana lolote huyo gheresha tupu...[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mungu Atusimamie. Nimeona watu bado wanagombania daladala kama kawa. Bila Mungu kutusimamia hali inaweza kuwa tete....

Na nimeona mahala wanasema inawezekana Waafrika tuna kinga na huyu kirusi kwa sababu hafurukuti sana. Hata waliompata wengi wao wanapona na dalili zao ni za kawaida tu. Uangalifu bado ni kwa wazee na wale wenye matatizo mengine ya kiafya...

Tukiendelea kufuata masharti ya wataalamu inawezekana kikombe hiki kikatupita [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…