Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Be-You-Tiful! π
Ni mrembo (wa kawaida tu)....Aiseee
Kuna mdada anaitwa Aundreanarene M'marekani ni noma nusu
Msambwanda anao kamanda?
I feel you bro. Na hii guarantine ya Korona hii aisee ni balaa. Siku ya tano sasa sijaongea na mtu face to face na bila hii JF sijui ingekuwaje...
Wewe wazukie tu mabinti PM na uwaeleze shida yako. Waweza pata atakayekuelewa mkaanza kupiga stori safi tu...
ππππ usiku wa leo ulikuwa na vibe la hatari bro, I can feel itUkijichanganya kitaa mi na Kabula wangu tunaua Mnyakyusa wallahi liwalo na liwe...
Kamata Nyagi yako sawa sawa lakini kamatia kwako. Hili nalo litapita [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kama umeshakutana nae mara mbili mara tatu na hujaona hilo eneo basi atakuwa hanaSijawahi kumuangalia maeneo hayo maana mi siyo mpenzi sana wa bongo movie, ila kuna mahali huwa nakutana nao, nitakuletea majibu yako nikimuona
Wamefikiaje mpaka sasa juu ya hatima ya ligi?Ubingwa huenda tukaukosaView attachment 1402570