Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

dah! hiki chumba ninacholala kimejaaa mashimo.....
kibaya zaidi nalala chini, basi usiku wa leo nimeshuhudia panya wawili wakipiga round kwenye kidoro changu kichafu.

aigoooo Mungu aniepushe na nyoka na sumu yake.
kuna siku nilitafunwa na tandu kwenye makalio (mama weeeee sikupata tena usingizi).

nawatakia mchana mwema wadau wa likes.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FB_IMG_1585469938709.jpeg
 
Mi mzima bhana, ila hata wewe umejipunguzia namba zako wakati takwimu zinaonyeshabuna miaka 41[emoji23]
wewe mzee kwanza umeamka salama?
hizo takwimu nimeziweka kwa mujibu wa saint anne (binti anasema yeye ni mkubwa kiumri kuliko shimba ya buyenze)
ikiwa shimba ya buyenze (handsome boy kutoka usukumani) anazidiwa kiumri na saint anne, ulitegemea atamzidi babu andjul?
mpemba mimi napata wapi nguvu ya kubishana na mtoto wa Mungu aliyezaliwa kwa wanyakyusa?

kama unaweza bishana naye.
log out
 
Kocha Lampard alikuwa amemweka Martinez kwenye orodha ya washambuliaji anaowataka akakipige Stamford Bridge msimu ujao na kwa kupewa Pauni 300 milioni aliona jambo hilo wala lisingekuwa tatizo, angeweza kuwapa kiasi chochote cha pesa Inter ili kunasa saini ya mchezaji huyo.
 
Back
Top Bottom