Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha tabia ya kupunguza umri wa watu bwa mdogo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umepunguza umri wa SYB kisha namba zake ukamjazia Andjul.
Umenipunguzia namba zangu ukajiwekea kwako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wewe mzee kwanza umeamka salama?
hizo takwimu nimeziweka kwa mujibu wa saint anne (binti anasema yeye ni mkubwa kiumri kuliko shimba ya buyenze)
ikiwa shimba ya buyenze (handsome boy kutoka usukumani) anazidiwa kiumri na saint anne, ulitegemea atamzidi babu andjul?
mpemba mimi napata wapi nguvu ya kubishana na mtoto wa Mungu aliyezaliwa kwa wanyakyusa?

kama unaweza bishana naye.
log out
 
huduma ya kwanza..hakikisha mgonjwa anapumua hata kama ni kidogoangalia kama kuna damu inavuja sehemuhakikisha anapaata hewa ya kutosha, asizungukwe na watu.mgonjwa asitembee kwani atasambaza sumu mwilini yaani abebwe palepale.usifunge kamba kwenye mguu kwani imeonekana haizuii chochote zaidi ya kuharibu kiungo husika.usichanje na wembe au kunyonya na kutema sumu kwani utaharibu mishipa ya damu
 
usiweke barafu kwani hakuanushahidi kwamba inasaidia.piga simu kuomba msaada ili mgonjwa apelekwe hospitali.usiweke pombe kwani huongeza ukubwa wa mishipa ya damu na kusambaza sumu zaidi.kama nyoka amekufa nenda naye hospitali daktari amuone ili ajue kama ana sumu au hana sumu.
 
matibabu ya hospitalini..kulingana na hali ya mgonjwa hupewa vifuatavyo...huongezewa maji mwilini, hii husaidi kuongeza presha ya damu na kupunguza sumu.hupewa dawa za kuua bacteria[antibiotics]huchomwa sindano ya tetenasihupewa dawa za maumivu.hushauriwa asiwe na wasiwaasi.
 
kidonda huoshwa na maji mengi na kuondoa jino la nyoka kama lipo.mgonjwa atapewa dawa ya kuondoa sumu mwilini kama ikithibitika nyoka alikua na sumu ambayo inaitwa kitaalamu kama polyvalent antisera kama nyoka hana sumu mgonjwa hatapewa dawa hii.dawa ya kuondoa sumu hutakiwa utolewe ndani ya dakika 20 kama sio hivyo mgonjwa atafariki.
 
wewe mzee kwanza umeamka salama?
hizo takwimu nimeziweka kwa mujibu wa saint anne (binti anasema yeye ni mkubwa kiumri kuliko shimba ya buyenze)
ikiwa shimba ya buyenze (handsome boy kutoka usukumani) anazidiwa kiumri na saint anne, ulitegemea atamzidi babu andjul?
mpemba mimi napata wapi nguvu ya kubishana na mtoto wa Mungu aliyezaliwa kwa wanyakyusa?

kama unaweza bishana naye.
log out
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena moud umemmpendelea Sana
Ilitakiwa awe kwenye 30's

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom