Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
WasitutanieSaint Anne anasemaje kuhusu hili? Wacheza rede bana [emoji16][emoji16][emoji16]
You will walk alone evenchuale !!!
Sawa
Fungu la kukosa [emoji16][emoji16][emoji16]
Mkubalie uone atakavyo kubishiaHilo nimeshaliona. Hata upewe facts na evidence kiasi gani. Ukiwa na msimamo wako dawa nzuri ni kukukubalia tu kwa sababu kujaribu kubishana nawe ni kazi bure. Uko vizuri sana [emoji1547][emoji1547]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hilo nimeshaliona. Hata upewe facts na evidence kiasi gani. Ukiwa na msimamo wako dawa nzuri ni kukukubalia tu kwa sababu kujaribu kubishana nawe ni kazi bure. Uko vizuri sana [emoji1547][emoji1547]
Wananchi naweni mikonoHao wanaokuja kutoka nje wanakuja na dola zao. Hilo ndiyo tatizo...umasikini!!!
😂😂😂😂😂😂 hatari sana broWe acha tu ...
Ilikuwa aje for the whole weekend lakini akapata dharura. Injini ilichukua muda kupoa bro [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwema huko kwako?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tizi la siksi paki gym au tizi gani bro?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatari sana bro
Huku kwema na maisha yanaendelea kama kawaida bro, hapa muda sio mrefu naingia ground kupiga tizi
Kwenda wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Fungu la kukosa [emoji16][emoji16][emoji16]
Subirini tena baada ya miaka 50. Utakuwa na miaka 70 wakati huo [emoji16][emoji16][emoji16]Kwenda wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ubingwa Ni wetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Emu angalia comment niliyomqoute MkokaaMpendwa
Kuna siku nimeenda bank nalazimishwa kunawa na mlinzi, nikamwambia nimepakaa sanitizer wapi kagoma hadi ninawe hivi hawajui kuna kupauka mikono, jamani ndio maana zikawepo sanitizer!!!