moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji23][emoji23][emoji23]
Waionaje khali yako yakheee [emoji3]
Nilipoona picha tu nilijua itakuwa ni hayo maeneo pendwa. Wapo kibao huko hata mchana tu utawasikia wanapiga kelele na wanahusishwa na imani za kishirikina
Upo unatalii
Nimewaza kama shimba ilangoja tungoje wanaojua wakupe muongozoKuna siku nimeenda bank nalazimishwa kunawa na mlinzi, nikamwambia nimepakaa sanitizer wapi kagoma hadi ninawe hivi hawajui kuna kupauka mikono, jamani ndio maana zikawepo sanitizer!!!
😂😂😂 hii likizo wapo wengi sitahangaika naeMkokaa jirani na hizi mvua, kama namuona bae wako anavyokujibu
😂😂 DoktaYaani hadi chips ushapoteza hamu yake!? Kunywa uji wa limao au ukwaju
Hehehehe wa kubahatisha😂😂 Dokta
KumbeYeah! Ukiosha macho na maziwa mabichi ya ng'ombe yaliyomaliza kukamuliwa bado ya moto moto baada ya lisaa limoja tu huyo upo zako Rocky City Mall ukifanya shopping bila wasiwasi....
Ndo zako nini kaka[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nilitalii wiki iliyopita.Upo unatalii
Vizuri dogoNilitalii wiki iliyopita.
Huku hata ukiwa umekaa nyumbani Ni utalii tosha,maana ni msituni
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi naona zipo kawaida tu bro.. Ni kama album gani iko na nyimbo nyingi?Sio poa huo mzigo kuna ile Alone Again naielewa sana.....
Hivi kwanini Albums za siku hizi zinakua na nyimbo nyingi sana tofauti na zamani?