Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
😂😂
Marahaba hujambo
Kwanini chips? 😂😂😂 naongelea appetite ya vyakula official. Nitafanya hivyo.Yaani hadi chips ushapoteza hamu yake!? Kunywa uji wa limao au ukwaju
🤣🤣🤣😂😂😂 hii likizo wapo wengi sitahangaika nae
😂😂😂Nimewaza kama shimba ilangoja tungoje wanaojua wakupe muongozo
Official ndio vipiKwanini chips? 😂😂😂 naongelea appetite ya vyakula official. Nitafanya hivyo.
Tupo nao huku mtaani🤣🤣🤣
Ila wazazi wamefungia watoto itakuwa...siwaoni mjini kabisa
UgaliOfficial ndio vipi
Ugali
Wali
Ndizi
Makande
Spaghetti
Jamii ya nyama zote
Dagaa
N.k
Nilimaanisha vyakula official vya Mtanzania. Chips ni tunda lile [emoji23]