Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

achana na kadi nyekundu
huyo jamaa gary lineker hakuwahi kupewa hata kadi ya njano.

Even though he enjoyed a long career, Lineker never received a yellow or red card. As a result, he was honoured in 1990 with the FIFA Fair Play Award. In a senior career which spanned 16 years and 567 competitive games, Lineker scored a total of 330 goals, including 282 goals at club level.

View attachment 1403265
Huyu jamaa tunaweza kumuita pitch saint

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2
Screenshot_20200328-195152.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanaoleta corona ni wasafiri kutoka nje, cha ajabu wanaotishiwa ni raia waliopo ndani ya nchi muda wote.

nimeenda sokoni muda huu nimeambiwa mwisho saa 10 kupata huduma ndani ya soko, kinyume chake ujiandae na fujo za wenye nchi

siruhusa kukaa vikundi (vikosi vya serikali vimeanza kutisha watu usiku na mchana wake)

kama serikali ipo kwelini walipaswa kufunga mipaka (anga na bahari)

wanachokifanya sasa ni uonevu haliyakuwa tatizo wanalifahamu linapoanzia.
Aisee
 
Back
Top Bottom