Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lakini, klabu yake ya Shanghai Shenhua ya huko China inaonekana kama kutaka kuweka ngumu hivi baada ya kuripitiwa kumwekea mezani ofa nono straika huyo ya kumlipa mshahara wa Pauni 400,000 kwa wiki arudi kukipiga kwao na kuachana na maisha ya Old Trafford.
 
Hata hivyo, unaambiwa hivi ada hiyo ya mkopo iliyolipwa kwa Ighalo ni cha mtoto kwa mastaa hawa 10, ambao wanadaiwa ndio wanasoka ambao saini zao zimenaswa kwa pesa nyingi licha ya kujiunga na timu hizo mpya kwa mikopo. Hizi hapa saini za mikopo ya bei mbaya kuwahi kutokea kwenye historia ya mchezo wa soka duniani.
 
Kwenye orodha ya mastaa hao wapo baadhi walionaswa kwa pesa nyingi sana kama Mbrazili, Philippe Coutinho aliponaswa kutoka Liverpool kwenda Barcelona kwa mkwanja wa Pauni 145 milioni, Gonzalo Higuain aliyewahi kunaswa kwa zaidi ya Pauni 80 milioni na Juventus, James Rodriguez kwa zaidi ya Pauni 65 milioni aliponyakuliwa na Real Madrid, lakini wamewahi kutolewa kwa mikopo na timu zao licha ya saini zao za mkopo kugharimu pesa ndefu. Hawa ndio mastaa walionaswa kwa mkopo ulioshuhudia timu zilizonasa saini zao kulipa pesa nyingi.
 
Back
Top Bottom