moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Tusibanane
Ndio, au tikiti majiKwahiyo ukila chips ni kama umekula kipande cha nanasi tu?
Aisee.
Ndio, au tikiti maji
Hahah! Ndo chakula chako hichoUgali
Wali
Ndizi
Makande
Spaghetti
Jamii ya nyama zote
Dagaa
N.k
Nilimaanisha vyakula official vya Mtanzania. Chips ni tunda lile 😂
Pande zipi hizo? Huko kwenye ulojo au?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kinadada wa pande zetu anakula chips na kipaja kisha anaenda kunyanyua gogo kiroho safi[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Utayaweza maisha ya huku Depal
Kwema kaka, habari za mapumziko?ningendako kwema kaka
Imekosekana kachumbari 😋Karibuni tugonge ubwabwa na ndondo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1403238
Safi broo vipi mishe zinaendajeKwema kaka, habari za mapumziko?
Ta ta tayaaaaariiiKwanini chips? 😂😂😂 naongelea appetite ya vyakula official. Nitafanya hivyo.
achana na kadi nyekunduRed card clean record
Red card clean recordView attachment 1403247