Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1585482092543.jpeg
 
Watu sita wa familia moja wa kijiji cha Mwabakalanga kata ya Samuye mkoani Shinyanga wamejerihiwa na Fisi w wakati wakifanya jitihada za kumuuaView attachment 1402984
Nilipoona picha tu nilijua itakuwa ni hayo maeneo pendwa. Wapo kibao huko hata mchana tu utawasikia wanapiga kelele na wanahusishwa na imani za kishirikina
 
misuli; nyoka kama rusells vipers, nyoka wa baharini na cobra huweza kuharibu misuli kabisa na kuifanya isambae kwenye mishipa ya damu hivyo kusababisha kufa kwa figo mara moja.
Yeah! Ukiosha macho na maziwa mabichi ya ng'ombe yaliyomaliza kukamuliwa bado ya moto moto baada ya lisaa limoja tu huyo upo zako Rocky City Mall ukifanya shopping bila wasiwasi....
 
Mbunge wa Moshi Vijijini Kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe.Anthony Komu ametangaza kukihama Chama hicho na kujiunga na cha NCCR MAGEUZI mara baada ya kumaliza kipindi chake cha ubunge baada ya bunge kuvunjwa kwa Madai kwamba CHADEMA imepoteza mwelekeo wa kuwapigania Wananchi pamoja na kujaa kutuhumiana ndani ya Chama hicho huku akimtupia lawama Freeman Mbowe kushindwa kuleta umoja ndani ya chama hicho
#DARMPYABLOGUPDATES
 
Back
Top Bottom