Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hilo nimeshaliona. Hata upewe facts na evidence kiasi gani. Ukiwa na msimamo wako dawa nzuri ni kukukubalia tu kwa sababu kujaribu kubishana nawe ni kazi bure. Uko vizuri sana [emoji1547][emoji1547]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini Mara nyingi misimamo yangu huwa sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We acha tu ...

Ilikuwa aje for the whole weekend lakini akapata dharura. Injini ilichukua muda kupoa bro [emoji16][emoji16][emoji16]

Kwema huko kwako?
😂😂😂😂😂😂 hatari sana bro

Huku kwema na maisha yanaendelea kama kawaida bro, hapa muda sio mrefu naingia ground kupiga tizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…