Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni kweli
Muda mwingine nikiamua kuongea hata hapa nyumbani huwa wananiambia Mimi mchekeshaji

Kuna muda kaka aliniacha nikakaa pembeni kulikua na watu wazima kidogo . yeye akaenda kugombania sijui msanii alirusha kofia na t-shirt
Nilimsisitiza kurudi nilipokuwa nimekaa..
Alivyorudi nkamuuliza umepata ?
Anasema nipate!?

Ule ujinga wa kwenda kwenye hayo mavitu siji kuufanya Tena maishani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…