Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama upo Buza itakuwa afadhali. Pole sana Ankoo. Ukisikia milima na mabonde (kauli ya Davet kwa TH) kwenye maisha ndio hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Daah!

Sasa naamini kweli hakuna kinachokupita kwenye huu uzi
 
Teh teh mie city pub nimeenda mara nyingi, ile fiesta ya mwaka 2018 mwanzoni waliyokuja kina Ali Kiba na Vanessa Mdee ndiyo tulikaa hadi saa 10 alfajiri. Na walifanya makusudi kuwapandisha hao wasanii wakubwa mwishoni ili tukeshe, maana ndiyo tuliokuwa tunataka kuwaona.

Pale kuna machangu mama tena wengi tu sema wengi wao huwa wanakuwa ndani, mbeya carnival ndiyo wanajipanga hadi nje kabisa japo kule mie huwa siendi mara kwa mara nilienda sijui mara tatu tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Daah!

Sasa naamini kweli hakuna kinachokupita kwenye huu uzi
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afadhali.
Halafu kule hauja enda si ndio?
Maana hawajawahi kunijulisha uwepo wako

Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani sana Anko kama nitakuwa nilikusababishia shida yeyote juu ya ile issue....

Sikufanikiwa kwenda kwasababu kwenye harakati tulikua wengi(3) hivyo basi kila mtu alileta uamuzi wake ikawa fujo tena, ila nashukuru Mungu tulikamilisha hapa hapa town japo kwa mbinde mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…