Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
ππππ eeh![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapohapo hajaanza kufuatilia habari za liva na simba
Amekaza ubongo.Hebu kuwa wewe romantic kwanza umfundishe na kaka yangu[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bro anaendekeza zaidi vijiwe vyake vya kahawa kubishania Siasa na mambo ya corona ila anasahau kuwa ama chombo ya Mbeya
Muda wake wa mapenzi ni usiku akishapanda kitandani. Hahah!Kakayangu yuko busy kutafuta pesa[emoji23]
Alikiba ameanza kuimba juzi tunamuonaswadakta (hivi ni mwaka gani alihudhuria show ya ali kiba?)
Anakwambia ya moto inaunguza[emoji23][emoji23]Hahah! Ina vibe la hatari sema mashairi ya Maua sio poa eti [emoji3]
Ndo nipo Mimi Sasa.
Mnanichukulia poa humu ndani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ustaadh gani utadhani amezaliwa Mara tarime buanaMuda wake wa mapenzi ni usiku akishapanda kitandani. Hahah!
"Akaniongopea tunda langu Chenza kanihifadhia"Amina njoo nikutume kwa Aisha
Mwambie Aisha aje
Kama hataki usimbembeleze Tena umwambie asije
Amina njoo nikutume umwambie Aisha mwambie Aisha aje
Kama hataki usimbembeleze Tena ...
SI unajua.........
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa vile nililia kwenye Kilimanjaro show Basi unadhani Mimi andaeitini mwenzio?[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Andaeitini mwingine huyuAnakwambia ya moto inaunguza[emoji23][emoji23]
Hizi nyimbo za siku hizi huwezi sikiza na watu wazima kwakweli
Ila Mimi sasa nimekuwa mkubwa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani mnavyoukimbilia ukubwa jamani
[emoji23][emoji23]
Hivi ule wa kiulaini Ni wa Nani?"Akaniongopea tunda langu Chenza kanihifadhia"
Hatari sana
Ilikua 2010 - 11 alitolewa out baada ya kuhitimu kidato cha nneswadakta (hivi ni mwaka gani alihudhuria show ya ali kiba?)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eeh!
Card zake za uanachama wa club hajazitendea haki, ila huyu jamaa ana mambo mengi wacheni asiwe romantic tu