Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

jike hushika mimba kwa miezi 11-12 na huzaa mtoto mwenye uzito mpka tani 5. (mtoto anakua na uzito wa kiboko πŸ˜ƒ)
na dogo hunyonya lita 230 za maziwa ya mama kwa siku moja tu na huongezeka uzito wa kg 3 kila baada ya lisaa na mtoto hukaa na mama yake kwa mda wa mwaka mmoja mpaka afikishe tani 11
 
Chakula kikuu cha nyangumi ni dagaa kamba, na kwa dei moja hupiga dagaa zaidi ya 40,000 (akitimba bahari ya hindi lazima tutafute mchawi πŸ˜ƒ), na ili nyangumi ashibe vizuri anakula kilo 3600kg kwa siku moko
 
Nyangumi anasauti kali sana na yenye nguvu ambayo inaweza kusikika mpaka umbali wa kilomita 800 ( hii ndio njia ambayo wana, hutumia kuwasiliana huko hamna haja ya kilongalonga wala barua πŸ˜ƒ)
 
Baadhi ya mishipa ya nyangumi ni mikubwa kiasi kwamba Binadamu anaweza kuogelea ndani ya mishipa hiyo bila kugusa pembeni hasa aorta , ule mshipa wa damu
 
Kutofautiana kwa masaa baina ya mataifa ni kitokana na mstari wa time zone upo zigizaga.Kama hukusoma vizuri geography hapa lazima usingizie uchawi kwamba iweje bongo tuwahi kuiona kesho kbla ya marekani lakini huo ndio ukweli.PIA miji ya marekani ina tofautiana katika masaa yaani los Angeles, new york,Chicago etc ipo tofauti katika muda.Nchi nyingi za ulaya (Europe) zinazidiwa na tanzania aidha saa moja au mawili mfano ubelgiji tunawazidi saa moja,ujerumani,uingereza(uk) tunawazidi masaa mawili.
Huko Asia china wanatuzidi masaa 5 yaani sisi tukiwa 12:00 mchana wao wapo 17:00 jion...
Hivyo basi unaweza ukasafiri toka japana leo na ukafika jana
 
Anakwambia ya moto inaunguza[emoji23][emoji23]

Hizi nyimbo za siku hizi huwezi sikiza na watu wazima kwakweli
"Simamia kucha mgambo wangu rungu suuza"

Shwaini zao hawa nyimbo zimekuwa kama video zetu zile, yani nyimbo tunasikilizia vyumbani kimaficho labda ukienda club ndio unaenjoy zaidi...

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…