Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]alipo saint anne ndipo nilipo mimi kama wapinzani wa zenji na maalim seif.......
nawezaje kupingana na daughter of god.....
unataka nikose maparachichi?
Hawa viburi ndo wanakera hawa[emoji23][emoji23]Wakina sisi hao viburi, inakua hupendi kuonekana kama umedata sana na mtoto au inatokea muda unamiliki mtu alafu humuelewi kiviiile. Pia muda mwingine inakua inakuwa ni huruka ya mtu tu
Shem hujambo?Inawezekanaje nikose kufurahi siku zote ninazoishi na uhai unajua mungu hapendi walimwengu mnavisaβͺβͺβͺ
Huyu kijana ananikosha
Nimejikuta naanza kumsikiliza
Dogo anatimiza 20 mwaka huu.Mkokaa pengine ndiyo ananusa nusa 24/25. Wewe naamini ndiyo unaichungulia twenti....
Sana.Hawa viburi ndo wanakera hawa[emoji23][emoji23]
Basi tu.
Nikisema niage ntakua najiraghai Moyo utakuwa bado unanidai, wacha niweke imani ipo siku nitaridhishwa πΆInawezekanaje nikose kufurahi siku zote ninazoishi na uhai unajua mungu hapendi walimwengu mnavisaβͺβͺβͺ
Huyu kijana ananikosha
Nimejikuta naanza kumsikiliza
Hivi kumbe Kuna machangudoa?
Nilishawahi kwenda city pub..bro amekuja nyumbani huyo akanizoa twende sijui kili show..Mimi huyo nikamfwata..
Nilijuta ile siku maana nilisimama,miguu inauma,Kuna vurugu,walevi wanagongana tu vyupa..Kuna wadada wanatwangwa wamekunywa bia za watu.
Nikamwambia bro turudi..anasema Mimi sirudi Hadi nimuone Roma..Yee
Yaani ile siku siji kusahau
Ikafika saa4 nikaanza kulia..akanirudisha nyumbani.
Ni Kati ya 2010 au na 11
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wewe basi tu. Uko kama komidiani fulani hivi. Eti ikafika saa 4 ukaanza kulia [emoji16][emoji16][emoji16]
Ulikuwa na umri gani wakati huo? Ungezubaa ukapotezana na bro wako mabaharia wangejiopolea kitu kipyaaa....wenyewe wanaitaga kuku wa kienyeji [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kd,carbaHahahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani nachekaje jamani jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
Utoto mbaya jamani[emoji1787][emoji1787]
Eti umezaliwa 91, 92 au 93
Nani dogoDogo anatimiza 20 mwaka huu.
Acheni kunichanganya kwenye kundi la watoto[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijambo shemShem hujambo?
Mapambano yanaendeleaje?
Mungu Awalinde sana shem [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
ππππEti simamia kucha [emoji16][emoji16][emoji16]
Nimewaza mbali sana bro
97 huyoEti umezaliwa 91, 92 au 93
Korona....Imebidi kuyaegesha tu haya mapipa dah! Mtikisiko mkubwa katika uchumi wa dunia unakuja....
View attachment 1403960