carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23]Act accordingly, lazima atalalamika sana na hii itasaidia kumshtua ataona kumbe ata bila yeye maisha ya watu yanaendelea, ila kama hakuelewi nae atapiga kimya alafu itakua imeisha kihivyo yani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkatalunya bado tu tukio la mtoto Phina limekukaa kichwani
SafiPoa
Niaje
Pamoja na tekinolojia yetu yote, Homo Sapiens yaani na uSapiens wetu bado sana yaani. Tunatishwa na kijikitu ambacho huwezi kukiona kwa macho. Very humbling [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Nasema tena....
#Hakuepukikiiiii [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1404220
Shukran[emoji120][emoji120][emoji120]Safi
Leo nimeona nikupe salam
Mzima mtaniMtani, mzima?
Mwisho wa mwezi huu, tusisahauane.
Asante bro. Huku tuko salama na Mungu Atatulinda. Huko kwako vipi?