Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23]

Hii naona ile ya kumwaga mboga nimwage ugali na maji ya kunawa.

Mimi huwa nakwambia ubize mwema yaani hapo nimemaliza
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Safi sana ata hiyo yako ipo vizuri yani kuna issue nyingie huwa hazihitaji diplomasia kuzimaliza bali ubabe tu alafu siku zinazidi kukatika
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mkatalunya umeshtukia kipa kimo cha Phillips unapiga mipira ya juu Tu
🀣🀣🀣🀣🀣 noma sana Mkatalunya

Vipi lakini shwari?
 
Mwaka 1994, maabara ya Wright ya Ohio, Marekani, iliandaa pendekezo la kutengeneza mabomu yasiyoua yenye homoni za kike ("pheromones"). Mabomu hayo wakipigwa adui yanawafanya waanze kutamaniana wenyewe kwa wenyewe kimapenzi.Chanzo:Wikipedia/GayBomb
 
Inategemea na ex[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Uko sawa shem...

Ma Ex wengine mpaka mtu unajishangaa. What was I thinking...Na wengine wanakuwa wamekuacha na tashwishwi...

Kuna mmoja niliingia gharama sana kumhudumia wakati tunasoma halafu akaja akachomoa the last minute hata kabla hajanipea. Nikapotezea japo niliumia sana....

Forward miaka sita mbele vu bin vu huyu hapa kwenye ndege tunatoka Mwanza kuja Dar. Kanona balaa anaburuta msambwanda uso unang'aa mbalamwezi cha mtoto. Kumuuliza anasema keshaolewa tena na mtu mkubwa sana kwenye gaverimenti yetu. Halafu ana mimba 4 months. Namuuliza ndo inakuwaje sasa? Ulivyonifanyia siyo poa. Madharau yale...Akaomba msamaha weee yakaisha ila...

Tunatua Dar anasema mumewe yuko nje ya nchi na hakuna mtu anayejua kuwa alikuwa anarudi siku ile. Sana sana tu ampigie dereva wake na kumwambia asije kumpokea eapoti kwa sababu alikuwa kaahirisha safari....Ijumaa mpaka Jumatatu...Dabo Turiii....

Nimeshatubu hii dhambi na nilishaapa kuwa sitakaa nijurubeng waifu wa mtu tena. Ma ex wengine hovyooooo !!...[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…