Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kaka mkubwa[emoji119][emoji119][emoji119]
Ulikula bini ya wenyewe??
 
Jimmy Doyle Ni Bondia ambae alifariki muda mchache baada ya pambano lake na Sugar Ray Robinson. Unaambiwa Jimmy Alikubali Pambano Hilo Lengo Kuu Likiwa Ni Kumnunulia Mama Yake Nyumba. Robinson Alichoamua Katika Mapambano yake Manne Yaliyofuata Alimpa Pesa Zote Mama Yake Na Jimmy Ili Aweze Kununua Nyumba. Chaajabu Mama Yake Na Jimmy Pesa Yote Alitumia Katika Madawa Ya Kulevya Na Pia Kumshitaki Robinson Akitaka Apatiwe Pesa Zaidi.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
PAREIDOLIA kisaikolojia inatajwa kuwa ni ile hali ambapo akili ya binadamu kutafasiri picha, mwanga, Vivuli au Vitu katika muonekano kama wa Uso. Mfano Mzuri Kuna muda Unaweza Kuangalia Juu ukaona Mawingu kama Sura ya mtu au Jiwe kama Sura ya mnyam
 
Wanawake huvutiwa zaidi na Wanaume ambao huwasikiliza na pia wanaokumbuka vitu Mbalimbali vinavyowahusu bila hata kukumbushwa Mfano kama Siku ya kuzaliwa.
sasa mbona mimi sitakiwi na wanawake na hizo sifa ninazo....
  1. demu wa kwanza nilimkumbusha siku yake ya kuzaliwa akanipa jina la cha umbea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…