Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

SYB niaje mkuu
Kwema aisee. Vipi lakini huko kwako? Shemeji na kale kamalaika ketu ketu hawajambo? Kamekua sasa eeeh! Kanahitaji mdogo wake sasa [emoji16][emoji16][emoji16]

Halafu nikuulize hapa hapa kwa vile umejileta. Una habari zo zote kuhusu malkia wetu wa uzi huu The only and Only one? Kuna boya mmoja alianzisha sredi akidai kuwa eti alishaRIP kuanzia mwaka jana. Sredi ilifutwa hata kabla watu hawajaanza kutiririka sawa sawa. Unazo habari zo zote kumhusu? Mwambie angalau aje tu mara moja atusalimie pulizi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…