Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

TANZIA

Familia ya Marehemu Alhaj Brigedia Generali Hashim Mbita kwa huzuni kubwa inasikitika kuarifu msiba wa mdogo wetu mpendwa IDDI HASHIM MBITA uliotokea usiku wa kuamkia leo hospitalini Mloganzila.

Kutokana na tatizo lililopelekea kifo chake, CORONA, serikali itamzika mpendwa wetu leo mchana. Wawakilishi wachache sana wa familia wataruhusiwa kuhudhuria mazishi. Hakutakuwa na msiba wala matanga ya pamoja kuepuka kueneza maambukizi. Kila mtu aomboleze kwake.
Dua nyingi tumuombee Iddi Allah amuweke pema peponi. Amina.
 
Mwenye umbo namba8 ananichanganyaaa...
Toka Moyoni nasema nampenda sana......
Embu piga hilo guitar Majani kama Santana
Ili na mimi nimuimbie Mamaaa... [emoji445][emoji445]
Ananichanganya sura yake
Inanidatisha shepu yake
Nanananana [emoji443][emoji444][emoji445][emoji442][emoji450]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…