Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Hivi ule wa mabinti wa kijanjaMwana fa mabinti [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
HahahahahaAl Shabab siyo watu....
Ilikua nyimbo maalumu kwa rafiki yake ambae pia alikua ni msanii Digital Robert (D rob)Yeah..
GK alijitahidi Sana...na kile kigugumizi ila jamaa alikuwa anachana kibishi
Sent using Jamii Forums mobile app
TANZIA
Familia ya Marehemu Alhaj Brigedia Generali Hashim Mbita kwa huzuni kubwa inasikitika kuarifu msiba wa mdogo wetu mpendwa IDDI HASHIM MBITA uliotokea usiku wa kuamkia leo hospitalini Mloganzila.
Kutokana na tatizo lililopelekea kifo chake, CORONA, serikali itamzika mpendwa wetu leo mchana. Wawakilishi wachache sana wa familia wataruhusiwa kuhudhuria mazishi. Hakutakuwa na msiba wala matanga ya pamoja kuepuka kueneza maambukizi. Kila mtu aomboleze kwake.
Dua nyingi tumuombee Iddi Allah amuweke pema peponi. Amina.
Pamoja
Hahah wapi weweNipo mwenyewe nyumbani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dogo Mimi nazijua nyimbo Sana.
Nadhani hobby yangu Ni mziki
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuelewa tuMwambie huyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi hanielewi kabisa [emoji108]
Sent using Jamii Forums mobile app
Pipi ya Kijiti
Mimi nyimbo utanishinda hizi za hivi karibuniHahah wapi wewe
Huyu mwamba naye nimemsikiliza Sana.Pipi ya Kijiti
Matawi ya juu
Ninaposimama
Rafiki wa kweli
Kifo, jela
N.K
MIP
MIP king Zizi
Yegomasika atalia kweli kweli hivi yupo humu kweliWhozhaaasaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91]
Kuna watu watalia humu ndani walahi..
Tena ile siku tunatangazwa mabingwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekuta kuna voice notes ningeziimba kuandika siwezMimi nyimbo utanishinda hizi za hivi karibuni
Lakini za zamani bado hujanifikia..
Kajipange..na hapa naandika Mara ya nilizisikiliza miaka 10 iliyopita
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu nilikuwa chimbo moja hivi mahesabu ya mwaka jana yaligoma kabisa ikabidi kujiova dozi hili twende sawa na kasi ya JPMWee mzee ulinisababishia taharuki ya moyo. Simu haipo hewani, kila nikija huko sina pa kuanzia.
Vipi kwema huko na familia?
Karibu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app