mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Wataelewa tu yaani full shangwePiga kelele kwa mzee wa liver[emoji23][emoji23][emoji23][emoji108].dada liver ndo nishasema hivyo[emoji91]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wataweza kweli?Atakuelewa tu
Atapata tabu SanaYegomasika atalia kweli kweli hivi yupo humu kweli
Aminia dadake
Iwe mvua iwe jua sisi ndio mabingwaCorona kiboko yenu
Mzee wa Liver ..Pole mkuu nilikuwa chimbo moja hivi mahesabu ya mwaka jana yaligoma kabisa ikabidi kujiova dozi hili twende sawa na kasi ya JPM
Hahahaha kweli kabisa
Bongo hatari sana[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1404955
Najua una pesa na umedata namiSugar mummy mama kubwa
Hahahaha dah hatari sana nini kilifuata*Wife was checking her husbands phone and saw a contact named COVID19 & she called the number and her own phone rang.*
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Namimi natamani jf ingekuwa na voice note.Ungekuta kuna voice notes ningeziimba kuandika siwez
Anaota ndoto za mchana huyo
Ngoja akalale aote nyingineAnaota ndoto za mchana huyo
Jamaa alikuwa mzee wa freestyle sanaMIP king Zizi
KumbeIlikua nyimbo maalumu kwa rafiki yake ambae pia alikua ni msanii Digital Robert (D rob)
View attachment 1405003
Mkuu niaje kitambo sana uko poaHey Kigy
Huyu ndio alipata COVID-19