myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Duh!Tena hapo hata awake alete na matarumbeta ya kusutia ana haki kabisa...ila kama pisi ni kali kumzidi inabidi awe mpole tu [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1405170
Kumbe ulikua hujasikiliza? Unayumba sanaNimeikumbuka car confessions ngoja niiskilize leo
Yaah! yale ni noma sanaAkichuale ukinywa yale maji ya chumvi unakufa mapema zaidi [emoji16]
ππππππHuu mpira ulioutoa nje iwe kona siungenipa pass?
#boraWaliMaharagweππ
ππππππππNumbisa my sister.
I hope you are doing great.I am really grateful for your concern.
Walio nacho huongezewa zaidi na wasio nacho watanyang'anywa hata kile kidogo walicho nacho.
Wataweza kweli?
A wapi
Kushindana nasi?
A wapi
Liverpool baba lao,
Mzee wa liver babu lao,
Anne dada lao
MOUD kaka lao
Klopp mwamba waoView attachment 1405009
Sent using Jamii Forums mobile app
πππVijana wa siku hizi mna mambo sana. Makorokocho yote hayo ya nini?
Asante mkuuWakulima poleni sana
Yaani umeona bora iwe kona tugombanie upya ππππππππππ
#Daah!
Hahahaha
Kwamba huamini?Ukipigwa ban wewe basi na mimi nitapambana nipigwe ban aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
Vipenzi vyangu Mimi jamani[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji8]
HapanaUshapitwa ivyo
Unapika ile mboga?
Lugha gonganaView attachment 1405115