Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna majitu yatakuja wakitutangaza mabingwa wa EPL ila sasahivi wapo bize kutuzomea

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi siyo lijitu ila mkipewa ubingwa utakuwa ni ubingwa wa kuhurumiwa tu. Ni sawa na kwenye ndondi kunatokea vurugu pambano linaahirishwa halafu yule aliyekuwa anaongoza eti ndiyo anatangazwa mshindi. Ushindi wa hovyo! Ushindi wa kubebwa! Ushindi usio na bashasha! Hovyo tu !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…