moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mtangazaji mashuhuri wa TBC Marina Hassan Marin amefarki Dunia
Wajibu wa kunyanyasa wenzao?[emoji23] hata hao waume zao siyo wapumbavu, wanatimiza wajibu muhimu wa ndoa [emoji23]
Juzi amekufa dereva..Leo mtangazajiMtangazaji mashuhuri wa TBC Marina Hassan Marin amefarki DuniaView attachment 1405722
Daah halafu nilisahau nacho hiki kichwa kinamambo mengi .nitakucheki
Bado pombe zimekuzidi au ulikuwa umebanwa tu?!Daah halafu nilisahau nacho hiki kichwa kinamambo mengi .nitakucheki
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi pale kwa mama janeth ulitaka kuongea Nini[emoji85]?[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe umeona?
KweliNgoja kwanza nikitulia
😂😂😂😂 nilikuwa bado nina akili za usiku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikuwa bado nina akili za usiku
Malizia Basi stori ya mama janeth[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] daah!
Ata wewe ungekuwa ni muhumini wake naimani ungempa
Hahah! Usinitafutie matatizo embu turudi kwenye music sasa
Burundi wameshapata vipimoCOVID 19.
Afika mashariki na nchi zilizotuzunguka.
1.DR Congo 98- vifo 8
2.Rwanda 75
3.Kenya 59- vifo 1
4.Uganda 44
5.Zambia 36
6.Tanzania 19-vifo 1
7.Msumbiji 8
9.Burundi 2
10. Malawi 0
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio wewe huyo huyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Hahah! Usinitafutie matatizo embu turudi kwenye music sasa