Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Hapo mama janeth anakuwa ameshikilia Lile jiwe mbele ya jiwe


Hivi ule wa
"Mtoto wa kiume niacheni nijitume
Kama matunda yangu yapo Basi niacheni niyachume
Nimeshakula msoto tangu nilipokuwa shule Kama nimechomwa Moto basi niacheni nivune"

Waimba wa kina Nani??

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂 🙌🙌🙌

Mtoto wa Iringa Mungu amlaze mahali pema
Anaitwa Geez Mabovu
 
Ewaaa
Geez
Nimekumbuka

"Mi najua mmenimiss Sana watu wangu wa kitaa"
Huu je?

Sent using Jamii Forums mobile app
Geez anayo ile nyingine inaitwa "Mimi"

Mimi ni zaidi ya msanii
Mimi ni kioo cha jamii
Me ni kamanda wa Jeshi makuruta wanani tii 🎶🎵

Hiyo mlinimisi aliimba mtoto wa Singida kwa kina Ninge anaitwa Cyril aka Kamikaze
 
Geez anayo ile nyingine inaitwa "Mimi"

Mimi ni zaidi ya msanii
Mimi ni kioo cha jamii
Me ni kamanda wa Jeshi makuruta wanani tii [emoji445][emoji444]

Hiyo mlinimisi aliimba mtoto wa Singida kwa kina Ninge anaitwa Cyril aka Kamikaze
Huo mbona sikumbuki[emoji848]
Labda Hadi niusikie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unasimamia misingi ni jambo jema na hutokaa kupigwa kuzembe au kununulishwa Maji ya baraka au kukanyaga mafuta
Hizi chumvi na utumiaji wa maji ipo
Lakini wao wanavyoyatumia sasa...
Mimi siji kwenda kufanya huo ujinga.

Juzi nilikuwa nimeweka earphones zangu nasikiliza Qaswida huku naimba..kuna watu wakawa wananikejeli,wananipinga.
Nawauliza sababu,eti wanasema nyimbo za hovyo,utapata majini..nikawauliza majini yako wapi?

Nimegundua wakristo Wengi Ni wafwata mkumbo tu,hawatulii wakasoma na kuyaelewa mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Embu vuta picha humo ndani yupo Geez, Chid, J mo na Fid....... usiache kuutafuta
Ujasiri wa maisha yangu nananana
Nanana kuitwa mtu mzima[emoji134]
Dah kumbe huu..Sasa Sijui nimeusahau vipi huku ulikuwa Kama kifungua kinywa[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilibahatika kuishi na kaka vichaa walahi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukinijia akilini nitaukumbuka[emoji848]

Mtaalamu Fareed Kubanda
Nashangaa sikumbuki wimbo wake hata mmoja eti[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kukumbuka mashairi au?
Naye huwa ana mashairi magumu labda nyimbo kama *Usinikubali haraka* kidogo mashairi yake ndio yanabebeka
 
.
e4bb311b5a8147f8b2cd4dc9b786aa51.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi chumvi na utumiaji wa maji ipo
Lakini wao wanavyoyatumia sasa...
Mimi siji kwenda kufanya huo ujinga.

Juzi nilikuwa nimeweka earphones zangu nasikiliza Qaswida huku naimba..kuna watu wakawa wananikejeli,wananipinga.
Nawauliza sababu,eti wanasema nyimbo za hovyo,utapata majini..nikawauliza majini yako wapi?

Nimegundua wakristo Wengi Ni wafwata mkumbo tu,hawatulii wakasoma na kuyaelewa mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wakristo tu ata huku upande wa pili kuna watu wana mitazamo hasi kabisa juu ya watu wa imani nyingine....

Lakini tunashauriwaga tusiongelee vitu ambavyo hatujafanyia tafiti au hatuna elimu navyo maana hukawii kutoa boko...

Hiyo stori yako ya Qaswida utapata majini umenikumbusha kuna siku jamaa yangu alitembelewa mama yake hapa mjini, sasa wakati wanapiga stories za huko Mwanza kwao yule mama alimuhadisia jamaa habari za msiba wa jirani yao.

Mama alisema hakuenda msibani kwasababu huyo jirani alikua ni Muislamu na anavyojua yeye waislamu wakifariki ile nyama ya marehemu ndio huwa wanalishwa watu walioudhulia kwenye msiba 😂
 
Ujasiri wa maisha yangu nananana
Nanana kuitwa mtu mzima[emoji134]
Dah kumbe huu..Sasa Sijui nimeusahau vipi huku ulikuwa Kama kifungua kinywa[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilibahatika kuishi na kaka vichaa walahi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ewalaa! Ndio hiyo hiyo sasa....

"Sijajua nani Kibaki na nani ni Leila Ondinga
Yupi anataka kubaki wakati raia wanampinga...." 🎶🎶🎵

Nilikua najiuliza umeweza vipi kuijua hiphop sasa nimepata jibu kwamba watu waliokuzuguka(kakaz) ndio walikuinfluence
 
Kukumbuka mashairi au?
Naye huwa ana mashairi magumu labda nyimbo kama *Usinikubali haraka* kidogo mashairi yake ndio yanabebeka
Nilikuwa siupendi huu wimbo ila unakuta kaka yangu ameuweka asbh Hadi jioni..
Tena anaweka sauti kubwa.

Mashairi yake siyawezi kwa kweli.
Alikuwa anaweza bro,unakuta amekazana kuchana sebuleni yaani[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom